Hii ndiyo hali halisi ya tukio
Mkazi mmoja (Jina halijafahamika) wa kijiji cha Itimbo amefariki papo hapo maeneo ya kinyambo katika mji mdogo wa Mafinga.

Ajali hiyo iliyotokea majira ya mchana wakati marehemu
akiwa pembeni mwa barabara alijikuta kavamiwa na tela la gari la magogo,
Imesemekana kuwa gari la magogo lilipofika kwenye bamsi tela lake lilichomoka na kusababisha ajali hiyo mbaya sana.
NA Mafingaonline