Kakakuona akionyeshwa kwa watu walioingia chumbani alipohifadhiwa huko Buza jijini Dar.
Kakakuona akiwa eneo alipohifadhiwa.
Mmiliki wa nyumba alipohifadhiwa Kakakuona, Mweri Swaka akimswalia mnyama huyo.
KAKAKUONA mwingine ameonekana tena katika
maeneo ya Buza jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo ikiwa ni mara
ya pili kwa mwaka huu mnyama huyo kuonekana huku tukio la kwanza
likianzia Kawe miezi kadhaa iliyopita na hatimaye tukio lingine
kujitokeza.
PICHA ZOTE NA GPL