IGP MWEMA KUNG'ATUKA!


IGP Said Mwema (60), ambaye awali Serikali ilikuwa imemuongezea muda wa kuwa kwenye nafasi yake hadi baada ya Uchaguzi Mkuu 2015, amedaiwa kuomba kustaafu ifikapo Disemba 2013.

Vyanzo vinadokeza kuwa mrithi wa Mwema tayari amekwishaandaliwa na atajulikana karibuni!

Endelea kusoma zaidi hapa ==> http://bit.ly/1buL7xQ


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo