Kwa hali isiyo ya kawaida changudoa
mmoja Alipewa kichapo cha mbwa mwizi Baada ya kugundulika na wenzake
kuwa huwa anauza kwa bei ndogo na saa zingine huwa anatoa kwa
mkopo..
kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa vile kinapunguza bei yao
na kuonekana kuwa si wa gharama...inafikia kipindi watu wanaokuja
wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini .....
“Kwani unafikiria sisi tutakula wapi kama utaendelea kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja akisema huku akishusha kichapo...
Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho...
Mteja mmoja alisikika akisema:
“Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),”