WAZIRI MKUU PINDA AMTEMBELEA MBUNGE WA CHADEMA NASARI NA NAMELOK HOSPITALINI ARUSHA

IMG_1435Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa  kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. IMG_1416Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole  Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoinine  aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu  akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo