Mmoja ya dereva mwenye gari lililokwama akiiandaa kamba kwa ajili ya kulinasua gari lake lililokwama kwenye vifusi vinavyolundikwa kwenye barabara hivyo kwa ajili ya ukarabati
Lori lenye mbao likiwa limekwama kama unavyoona, hakuna tope makete ni kiangazi lakini ndiyo hivyo
Wakilisukuma bila mafanikio lori hilo liondoke lilipokwana angalau magari mengine yapite
hapa ndipo yanapokwama magari
Jamaa akiangalia sehemu lilipokwama gari lake muda mchache baada ya kunasuliwa
Lori likiwa limesheheni mbao, likiwa limekwama kwenye vifusi hivyo
Wakijiandaa kuchimba ili kulinasua
Waliamua kusambaza vifusi ili magari yapite kirahisi
Hivi ni vifusi vilivyolundikwa kwenye barabara hiyo, tunaomba radhi kwani picha hizi zimepigwa kwa simu na hazina ubora wa kiwango stahili)










