skip to main |
skip to sidebar
TAZAMA KINACHOENDELEA NYUMBANI KWA LANGA HIVI SASA
Kala Pina akizungumza na wanahabari nyumbani kwa Langa kuhusu kifo cha Langa
Maandalizi ya mazishi nyumbani kwa Langa

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka hapa nchini Kala Jeremia akiwa nyumbani kwa marehemu Langa akizungumza na waandishi wa habari, juu ya msiba mzito wa Langa ambao umetukumba watanzania wiki kadhaa baada ya kuondokewa tena na msanii wa hip hop marehemu Albert Mangwea
(Picha na mdau Dj Choka)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi