Jamaa akikatisha pembezoni mwa barabara kukwepa vumbi ambalo nahisi halikwepeki kwa sababu kazi ndio kwanza inaanza, yaani vuuuuuumbi tuu, hii ni moja ya barabara ya mitaa Makete iliyokarabatiwa hivi karibuni
Mwendo wa vumbi tu hapa
Mifugo iliyonaswa na kamera yetu ikiwa inazurura hovyo mitaania bila ya kuwa na mwangalizi yoyote, jambo ambalo ni kero kwa watu wote waishio makete mjini
Vifusi vikiwa vimelundikwa katika barabara ya makete - mwongolo vikiwa vinasubiri kusambazwa