POLISI WAMTAKA MBOWE ATHIBITISHE KUHUSIKA KWAO NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA


Polisi wamemtaka Mbowe na Bwana Lema wathibitishe mara moja jinsi polisi walivyo husika katika mauaji ya Arusha,wakishindwa basi watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Maelezo haya yametolewa na Chagonja.

source: ITV


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo