Picha zinaonesha matukio mbalimbali wakati wa maziko ya Msanii Langa Kileo ambaye amezikwa leo hii na watanzania waliohuzunishwa na kifo hicho kilichotokea ghafla. Langa amezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,(Picha zote kwa hisani ya Times Fm)
RAIS SAMIA AAGIZA HAYA KUMUENZI MTEI
42 minutes ago