Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali mbaya
ya barabarani wilayani Hanang’ baada ya gari lake kugongana uso kwa uso
na basi la abiria.
Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita wakati Mh. Sugu akielekea Arusha. Taarifa zinadai Mh. mbunge hajadhurika!
Tutaendelea kufuatilia zaidi na tutawajuza hapa hapa.