Ikiwa ni takriban wiki mbili sasa tangu msanii Albert Mangwea kuaga dunia, watanzania tumepata tena msiba mwingine mzito ambapo msanii wa hip hop tanzania Langa Kileo naye amefariki dunia hii leo
Langa amefariki wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Malaria katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi kuhusu msiba huo
