MREMA ATANGAZA KUMUUNGA MKONO LOWASSA KWENYE URAIS 2015

Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana Mtaji na kuwa atamuunga mkono Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa kwani anauhakika wa MTAJI na kuwa Atashinda.

Alisema kwamba yeye (Mrema) anaona biashara hiyo ya kugombea Urais inahitaji Mtaji mkubwa na kuwa yeye hataweza!


Source: Gazeti la Habari leo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo