KALAPINA AMZUNGUMZIA MAREHEMU LANGA


Ni Nyumbani kwa Marehemu Langa hapa Kalapina akimuongelea Mwana hiphop Mwenziye Marehemu Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alikuwa Mwanahiphop aliyekuwa akifuata Misingi ya Hiphop.RIP Langa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo