Mwenyekiti wa Chama cha Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)
Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha Kituo
Kikuu cha polisi mjini Arusha baada ya Jana Kamishna wa Operesheni na
Mfunzo ya Jeshi la Polisi nchini Paul Chagonja kutaka wajisalimishe.
Mbowe na Lema wamejisalimisha muda huu kwa ajili ya kuhojiwa
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi