skip to main |
skip to sidebar
AFANDE SELE AWEKA WAZI KUWA HAJAWAHI KUPATA TUZO YA KILI
Ukisoma
historia yangu kupitia WIKIPEDIA kamusi elezo huru, kuna sehemu
wameandika kuwa nilishawahi kushinda tuzo za kili wakati si kweli zaidi
katika historia yangu yote ya muziki hapa bongo nimeshawahi kushinda
tuzo moja tu ya 'KING OF RHYMES' ambayo hata hivyo nilipata kwa kupitia
nguvu ya umma tu kwa kuwa 'king of rhymes' ndio shindano pekee katika
historia ya muziki wa bongo lililoandaliwa na kuamuliwa kupitia nguvu ya
umma kiasi cha kuteka hisia za raia wa rika zote kama ilivyo kwa
uchaguzi wa rais.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi