
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo imetoke eneo la jet nyerere
mkabala na kituo cha mafuta cha victoria.Akielezea zaidi Frank anasema
ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ya Verosa yenye namba za usajili T
654 CHE na bajaji ,Kwa mujibu wa mashuhuda dereva wa bajaji amefariki
hapo hapo ,na dereva wa verosa amekimbia.Endelea kuwa nasi kwa taarifa
zaidi
