skip to main |
skip to sidebar
MWANAMKE AKIRI MAHAKAMANI KUPANGA NJAMA YA KUMUUA MUMEWE
Mwanamke
mmoja amekiri mbele ya mahakama mjini Nairobi kuwa alipanga njama ya
kumuua mumewe kwa kuwalipa watu aliodhani ni MAMLUKI shilingi laki
mbili za Kenya kutekeleza njama hiyo.
Hata hivyo alishtuka kugundua
kuwa watu hao walikuwa maafisa wa ujasusi na ndipo sasa wakaweza kumkamata.
Faith Wairimu aliambia mahakama kuwa alitaka kumuua mumewe wa
miaka 16 na baba ya wanawe wawili kwa sababu matatizo ya kinyumbani
ikiwemo kukosa kuwalipia watoto karo ya shule.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi