WATU mbalimbali wakiwemo
wafanyabiashara ndogondogo wa mashinetatu katika Manispaa ya Iringa
wamenusurika kugongwa na gari baada ya gari hilo kukosa breki na kuanza
kurudi nyuma.
Watu mbalimbali walikuwa wamejaa kuangalia kinachoendelea baada ya polisi kuwakatalia wafanyabisahara kuendelea na biashara maeneo hayo ndio walio wakuwa wapatwe ajali hiyo.
Gari hilo lilikuwa likipandisha barabara ya mashinetatu kuelekea barabara kuu lakini kabla ya kuingia barabara kuu likakosa breki na kuanza kurudi nyuma.