vingozi mbalimbali kutoka halmashauri ya wilaya ya makete wakipata maelezo ya Kuku day kutoka kwa wataalamu wa mifugo, katika maadhimisho yaliyofanyika kiwilaya katika kijiji cha Mago kata ya Lupalilo wilayani Makete
Mzee Kimaro (kushoto) akitoa maelezo kwa watu waliofika kwenye maadhimisho hayo
Baadhi ya wanafunzi wakinogesha maonesho hayo
Afisa kilimo mifugo na ushirika wilaya ya Makete akisema machache kuhusu kuku day
Afisa mipango wilaya ya Makete Cyrus Kapinga ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa halamshauri ya makete akitoa chanjo kwa kuku katika maadhimisho hayo
Picha zote na Aldo Sanga