skip to main |
skip to sidebar
MVUA ZIMEKWISHA MAKETE, WAHUSIKA TENGENEZENI BARABARA SASA
Picha hizi zinaonesha maeneo mbalimbali ya barabara wilayani Makete mkoani Njombe ambazo zimeharibikakutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha wilayani humo, kwa hivi sasa mvua zimemalizika tunaomba wahusika waanze kuzifanyia ukarabaiti(Picha na Edwin Moshi)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi