MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SAYANSI NA TIBA (MUHAS)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya kulifungua rasmi leo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo leo Mei 2, 2013 katika Ukumbi wa Kunduchi Beach Hotel, lililoandaliwa na Chuo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya madokta wa Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili, wakati alipowasili Ukumbi wa Kunduchi Beach Hoteli leo Mei 2, 2013 kwa ajili kufungua Kongamanao la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS). Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia, kwenye Ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo