TAZAMA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO MKOANI NJOMBE

Wanafunzi wa shule ya sekondari Mlondwe kata ya Itundu wilayani Makete wakimsubiri mgeni rasmi, mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi
Wanafunzi wa shule zilizopo tarafa ya matamba wilayani Makete wakiwa eneo la maadhimisho
Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi akizungumza na mkuu wa polisi wilaya ya Makete SP Peter Kaiza katika viwanja vya maonesho
 Mkuu wa Mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi akisalimiana na TX Majenzi kutoka idara ya ujenzi halmashauri ya wilaya ya Makete, kulia kwa mkuu wa mkoa ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro
 Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Fulgency Ngonyani akisalimiana na wakuu wa idara wa halmashauri ya wilaya ya Makete
Mkuu wa mkoa wa Njombe akizungumza na mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro
ujumbe kutoka jukwaa kuu
Mkuu wa Mkoa wa Njombe akiwahutubia wananchi waliofika kumsikiliza kwenye maadhimisho hayo, hivi karibuni


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo