LEO NI SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

uhuru wa vyombo vya habari!!

Hallo vipi? hii leo Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amefungua rasmi kongamano la waandishi wa habari kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na eneo la Maziwa makuu, nchini Kenya kwa maandalizi ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani hapo kesho. 

Je nini maoni yako kuhusu uhuru wa vyombo vya habari duniani? unadhani waandishi wa habari wanafuata maadili ya kazi na unadhani serikali zinawapa waandishi wa habari mazingira mazuri ya utenda kazi?
uhuru wa vyombo vya habari!!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo