timu zote za netiboli zikiwa uwanjani
Netiboli ikichezwa
Mashabiki wakiangalia netiboli ikichezwa
Mgeni rasmi na ujumbe wake wakifurahia michezo mbalimbali iliyochezwa
Wanawake kutoka bomani wakivuta kamba dhidi ya wanawake kutoka afya, ambapo afya waliibuka vinara
Wanaume kutoka bomani wakivuta kamba dhidi ya wenzao afya, ambapo bomani waliibuka kidedea
Wanawake kutoka afya wakivuta kamba
Wanaume kutoka afya wakivuta kamba