DC WA NEWALA AKABIDHI BODABODA YA MIZIGO KWA KIKUNDI CHA VICOBA MANGO


Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala akikabidhi pikipiki kwa kikundi cha Vikoba cha Kijiji cha Mango Kata ya Mtunguru. Magala akimkabidhi Pikipiki hiyo ya mizigo kiongozi wa Kundi hilo.
 Mkuu wa Wilaya ya Newala Christopher Magala akiizindua boda boda hiyo ya kikundi hicho waliyoinunua kwa fedha zao ili iwasaidie katika shughuli za kilimo ikiwa ni pamoja na kusafirishia mazao.
DC Magala akiwasikiliza wanakikundi hao.PICHA NA FATHER KIDEVU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo