POLE SANA QUEEN DARLEEN..UJUMBE UTAKUWA UMEFIKA LAKINI
MMMhh Jamani Nashindwa Kuamini Nlipokua Naulizwa Na Pia Baadae Watu
Walioshiriki Katika Kili Awardz Academy (Watangazaji,Madjz,Waandishi Wa
Habari & Wadau Wengine) Kulazimisha Kuwa Wimbo Wangu Huu Ambao
Umeniweka Juu Sana ACHA KOKORO kudai Eti Umetoka Mwaka Huu 2013 Dah
Nashindwa Kuamini Sasa Acha Niwajibu Hata Kama Hawajaniweka Ktk Tuzo
Wimbo Wangu Huu Audio Yake Ilitoka August 18 2012 Na Video Guyz
Mkiangalia Hii Album Ya Picha Zangu Wakati Nafanya Video Na Adam Mtaona
Nimefanya Oct 2012...Sasa Dah Ha ha ha...Wamelazimisha Iwe Ya Mwaka Huu
Haya Walivyotaka Wao Nashukuru..Ila Nimeamini Kuwa Baadhi Ya Washiriki
Hawakuwa Na Upeo Na Kufatilia Ngoma Zinapotoka Ktk Radio Na
Tv...DONEEEE...Haya Tuone Tuzo Za Mwakani 2013-2014 Je Itakuwepo?...Ni
Hayo Tu...Nawashauri Kili Awardz Mjipange Sana Wachaguweni Wanaojua Hasa
Mziki Ktk Academy Yenu....Queen Darleen QD.