ZITTO KABWE AKANUSHA KUHUSIKA NA ZITTO KABWE FOUNDATION, JIHADARINI NA MATAPELI

 
Kupitia ukurasa wake wafacebook Mheshimiwa Zitto Kabwe amekanusha kuto husuika na mfuko wa Zitto Kabwe Foundation. ameandika:

"Narudia tena, sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe foundation. Siendeshi taasisi ya mikopo na wala sina biashara yeyote ile ndani au nje ya nchi. 


Hivyo puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina Langu. Nimejulisha vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina Langu kuibia watu."


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo