skip to main |
skip to sidebar
WAHAMIAJI HARAMU WALIOVAMIA MASITU WAPEWA SIKU 3 WAONDOKE
Wilaya
ya Muheza Mkoani Tanga imewapa siku tatu wahamiaji haramu zaidi ya 200
waliovamia msitu wa hifadhi wa Kwani na Tongwe wilayani Muheza Mkoani
Tanga kuondoka mara moja la sivyo nguvu ya ziada itatumika kuwaondoa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi