RUSHWA YAZIDI KUDIDIMIZA UCHUMI WA NCHI

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa-TAKUKURU- imesema vitendo vya rushwa katika nchi nyingi duniani hasa zinazoendelea imedidimiza uchumi wa nchi hizo, kutokana na kukosekana kwa uadilifu miongoni mwa waliopewa dhamana.
Kutokana na hali hiyo, Shilingi zaidi ya BILIONI 149 ambazo zinge tumika katika shughuli za maendeleo hupotea kila mwaka


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo