Mwanamama kutoka kijiji cha Malembuli kata ya Mang'oto wilayani Makete akiandaa mbolea ya mboji kwa ajili ya kurutubisha shamba lake na shughuli nyingine za kilimo
Huyu ni mwanamke mwingine wa kijiji hicho hicho akiwa anachimba shimbo kwa ajili ya kuandaa mbolea ya mboji, utamtaka!!!!!!!!!