MSANII CYRILL KAMIKAZE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

RAPPER CYRILL KID KAMIKAZI AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI MAMA JANE KITAINDA. MSIBA UPO TEGETA NYUMBANI KWAO CYRIL. POLE SANA KWA FAMILIA ,NDUGU NA MARAFIKI.
CHANZO:SAMMISAGO.COM
Cyrill Alivyo Kuwa Na Mama Yake Tarehe 19 March 2013. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo