MLIMA KITONGA NI ENEO LA AJALI ZA MARA KWA MARA

MAFUNDI WAKILINASUA LORI LILILOJIKITA UKUTANI MARA BAADA YA KUTOKEA AJALI

LORI LILOPATA AJALI MBAYA LIKONEKANA KWA MBALI..HAPA DEREVA ALIAMUA KULIGONGESHA UKUTANI KUTOKANA NA UPANDE WAKE WA KULIA KUWEPO KWA BONDE REFU SANA

MAFUNDI WAKITENGENEZA LORI LILOHARIBIKA MLIMA KITONGA(picha zote na Hassan Zena wa HABARI MPASUKO BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo