MAGARI YAZIDI KUKWAMA MAKETE, CHANZO UBOVU WA SEHEMU NDOGO YA BARABARA

 Basi la kampuni ya japanese linalofanya safari zake kati ya Ikonda - Mbeya likiwa limekwama kwa zaidi ya saa 1 katika kijiji cha Ivalalila kutokana na kipande hiki kidogo cha barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo
 Gari la shirika la SUMASESU linalofanya shughuli za kijamii wilayani Makete likitoa msaada wa kuvuta basi hilo la abiria lililokwama
 Hii ndiyo hali halisi ya basi hilo baada ya kukwama
Hapa wakifunga kamba kwenye basi hilo ili livutwe
 Hapa wadau SUMASESU wakijiandaa kuondoka baada ya kufanikiwa kuvuta basi hilo
Basi hilo likivutwa ili linasuliwe.
Mtandao huu unashauri jitihada zaharaka zifanyike ili kunusuru tatizo hili kwani linazidi kuwa kubwa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo