GARI LA KUBEBA TAKA LAPINDUKA SAE MBEYA

GARI LA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA LIMEPINDUKA SAE  BAADA YA KUIKWEPA DALADALA ILIYOKUWA INAKATA KONA KATIKATI YA BARABARA KUKATIZA SAFARI YA KWENDA UYOLE  DEREVA WA DALADALA BAADA YA KUONA AMESABABISHA AJALI ALIKIMBIA NA GARI LAKE KUKWEPA KUPIGWA NA WANANCHI KWA KOSA ALILOLIFNYA



DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HILO LA KUBEBA TAKA LA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YEYE NA WENZAKE WAMETOKA SALAMA  HAPA HAAMINI KILICHOTOKEA




WANAUSALAMA BARABARANI  WAKIPATA MAELEZO TOKA KWA DEREVA ALIYEPATA AJALI

PICHA NA MICHAEL MDAU WA MBEYA YETU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo