Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na mkazi wa Kimara Korogwe,
Richard Paul wakati mbunge huyo alipokutana na wakazi hao kutaka kujua
fidia wanazotaka kulipwa kutokana na upanuzi wa barabara, pia
alitembelea ujenzi wa daraja katika eneo hilo.
ZIARA YA MH JOHN MNYIKA KIMARA JIJINI DAR ES SALAAM HII LEO
By
Unknown
at
Saturday, February 23, 2013