Mkurugenzi
Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba akizungumza
katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana na kupata chakula
cha jioni kwenye ukumbi wa Makonde mjini Mtwara,baada ya kumalizika kwa
Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF),lililomalizika jana kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo
ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani humo.
Maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka kulia ni Grace Michael na Dr. Ahena Mramba Rose Gabriel wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi
wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu NHIF , Bw. Michael Mhando
akifurahia jambo na Grace Michael Ofisa Masoko wa mfuko huo wakati wa
hafla hiyo kulia ni ni Angela Mziray
Baadhi
ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo
kutoka kushoto ni Mgaya Kingoba wa Habari Leo na wenzake
Steven Mhina kulia akiwa na Angel Akilimali kushoto wote kutoka Radio Uhuru.
Wanahabari mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika hafla hiyo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA