katibu wa mbunge wa jimbo la Ismani Wiliam Lukuvi Bw Thom Malenga kulia akiwa katika mazishi ya mzee Lukuvi leo (picha zote na Francis Godwin)
Mwili wa marehemu Mussa Lukuvi ukifikishwa makaburi ya Mtwivila mjini Iringa
Mwanahabari Rashid Msigwa akiwajibika katika mazishi leo
familia ya Lukuvi ikiwa katika mazishi hayo