Vijana kibao wa huku wamenufaika kwa ajira ya ujenzi wa barabara hii muhimu ambayo ujenzi wake ulisimama kwa muda baada ya kampuni ya kandarasi ya Ujenzi ya Progressive ya India kushindwa na kutimuliwa na kupatikana mkandarasi mwingine. Picha na mdau Gerson Msigwa
UJENZI WA BARABARA SONGEA - TUNDURU KWA KIWANGO CHA LAMI UKO POA
By
Unknown
at
Wednesday, February 13, 2013