TAARIFA MUHIMU KUTOKA JWTZ

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA  


                                                                             15 Februari 2013



 Meli vita tatu (3) kutoka Jeshi la Wanamaji la Urusi zijulikanazo “MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  “ALATAU” na “IRKUT” zikiongozwa na Rear Admiral Vladimir Vdovenko, watawasili nchini tarehe 16 February 2013 na  kuondoka  tarehe 20 Februari 2013 katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi.

Waandishi wa Habari mnakaribishwa kufanya ‘coverage’ ya tukio hilo
Siku ya Jumatatu,  tarehe 18 February 2013 saa 1.00 hadi saa 3.00 usiku.


 Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764 742161
Email: ulinzimagazine@yahoo.co.uk

  
K U M B U K U M B U

MMJ/JB/

Feb 13
 DP ADMN


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo