MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja aliyekutwa juzi akiwa
ametelekezwa vichakani Kimara Baruti, Manispaa ya Kinondoni, imebainika
aliyemtupa alikuwa mfanyakazi wa ndani (hausigeli) katika eneo hilo.
Kuna taarifa zinazodai kuwa, msichana aliyedaiwa kufanya kitendo hicho,
alikamatwa juzi na polisi kutokana na taarifa za wasamaria
waliomshitukia baada ya kumwona hana ujauzito. Inaelezwa kwamba msichana
huyo alikutwa akiwa na hali mbaya kiafya, kutokana na kutokwa na …read more