Hapa ni baada ya kusuka katika karandinga la polisi leo
Wanahabari wakishuhudia pasipo kupiga picha mtuhumiwa baada ya kuthibitiwa na mmoja kati ya askari polisi ,japo kamera ya mtandao huu iliweza kunasa tukio zima
Hapa mtuhumiwa huyo akishuka katika karandinga na kupelekwa mahabusu ya mahakama ya mkoa leo
Wahanabari wakisikiliza kesi hiyo kupitia dirisha huku askari huyo akijaribu kuwafukuza
Karandinga la watuhumiwa likiingia mahakamani leo
Hapa mtuhumiwa baada ya kupangiwa tarehe ya kutajwa tena kesi hiyo ambayo itatajwa tena Februari 28 mwaka huu
Askari polisi ambae jina lake halikuweza kupatikana akiwadhibiti wanahabari waliofika kuripoti habari ya mtuhumiwa huyo wa mauwaji ya Daudi Mwangosi anayethibitiwa hapa ni mwenyekiti wa klabu ya wanahabari mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard ambae ni mwandishi wa gazeti la habari leo mkoa wa Iringa.(Picha zote na mdau Francis Godwin)