skip to main |
skip to sidebar
NYUMA YA PAZIA KUHUSU BUNGE KUTOONESHWA LIVE
Wakati
ofisi ya bunge ikidai kuwa imekaririwa vibaya na vyombo vya habari
kuhusu niayake ya kuta kusitisha urushwaji wa moja kwa moja ya vikao
vya bunge mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika amesema mpango wa kubinya
uhuru wa vyombo vya habari bungeni ulianza tangu mwaka 2012 na hivyo
bunge linafanya hivyo kujaribu kupima nguvu ya ummaa na kama watu
wakikaa kimya ni dhahiri kuwa ipo dhamira hiyo wataitekeleza.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi