Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi
akiwa na maafisa wa jeshi hilo ndani ya gereza hilo ambalo linaendelea
kujengwa.
Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi akiwauliza maswali
mbalimbali maafisa wa magereza na baadaye kuwataka kusimamia vizuri
ujenzi wa gereza hilo ambalo litakuwa la kwanza nchini kwa ajili ya
kuwahifadhi wafungwa wakorofi.
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma, SACP Kibana Kamtande
akimfafanulia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mwamini
Malemi (wapili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa wizara
hiyo, Agnela Nyoni (kulia) jinsi ujenzi wa gereza hilo ulivyoanza na
unavyoendelea.
Injinia wa Ujenzi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dodoma,
Salum Omari akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi (kushoto)
maeneo mbalimbali ya gereza maalum la wafungwa wakorofi linaloendelea
kujengwa karibu na Gereza la Isanga mkoani Dodoma. Kulia ni Mkuu wa
Jeshi hilo nchini, Kamishna Jenerali John Minja
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO
YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI