Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO
kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura
Habari zinadai kwamba Msanii huyo alikuwa na mpango waku endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . ......

CHANZO:MPEKUZI BLOG