Mtoto mmoja wa ajabu
amezaliwa mkoani Mwanza akiwa na mikono minne na miguu minne hali iliyowashangaza
wakazi wengi wa jiji hilo
Hata hivyo kwa
mujibu wa mwandishi wa habari Amikus Bwitunga mtoto huyo amefariki dunia muda
mchache baada ya kuzaliwa
Msikilize akisimulia
mkasa huo kwa kubofya hapo chini