Hapa moja ya kondakta akiita abiria bila mafanikio, hii ni kutokana na uhaba wa abiria muda wa mchana, hata mwanafunzi atapanda bila kuzinguliwa
Angalia mwenyewe daladala zilivyojipanga zikisubiri abiria, lakini kwa kawaida kituo hiki huwa na abiria wengi mno majira ya asubuhi