Hivi ni vyuma vilivyoko kando kando mwa barabara ya Morogoro eneo la Kimara mwisho karibu na mahakama ya mwanzo Kimara, ambapo tayari watu wasio waaminifu wanafungua taratibu vyuma hivi! mwishowe ni wizi ndio unafuata
Ukiangalia kwa mbele kule tayari vyuma vishafunguliwa, bado hapa mwanzo tu