Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe
Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe
Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya
Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja
na familia ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu
Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya
Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye
Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali
ya Selian,Jijini Arusha.





