Kiti cha kushoto mwa gari alilokuwa nalo marehemu, kikiwa na damu mara baada ya kifo cha Padre Mushi
Gari alilouawa padri Mushi leo asubuhi
Wananchi wakiwa hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar ulipo mwili wa marehemu padri Mushi
Tunaomba radhi picha hizi hazina ubora mzuri, lakini tumelazimika kuziweka ili kuonesha angalau hali halisi, picha nzuri zitakujia muda si mrefu

